Dhamira Yetu
Kumuona Mungu kupitia Yesu Kristo akimfungua mmoja mmoja kutoka katika kifungo cha dhambi na kuwa mkristo mwaminifu kwa utukufu wa Mungu.
Experience Faith. Find Purpose. Make Impact.
Mahali pa kukua katika imani, kujifunza Neno la Mungu na kufanya mabadiliko katika jamii.

Kanisa Nchi Ya Ahadi linakukaribisha kuwa sehemu ya jamii inayojengwa kwa Neno la Mungu, ibada, maombi na huduma kwa wengine.
Jifunze pamoja nasi, jenga mahusiano ya kiroho, na ugundue namna ya kuleta matokeo chanya katika maisha ya wengine.
Soma dhamira yetu
Kumuona Mungu kupitia Yesu Kristo akimfungua mmoja mmoja kutoka katika kifungo cha dhambi na kuwa mkristo mwaminifu kwa utukufu wa Mungu.
Kumuwezesha kila Muumini kuishi maisha ya kikristo yaliyojaa ubunifu wenye tija kwa nguvu ya Roho mtakatifu, kwa kuwatumikia wengine, na kuwasaidia kutambua nguvu zao, ili kuacha alama kwa vizazi na vizazi.
Ushirika unaojengwa katika Neno la Mungu, ibada na kuwahudumia wengine.
Kujifunza na kukua katika ufahamu wa Neno la Mungu.
Kumwabudu Mungu na kujengwa katika maisha ya maombi.
Kujenga mahusiano na kutiana moyo katika imani.
Kuonyesha upendo wa Kristo kwa matendo yenye matokeo.
Vielelezo vya usanifu wa jengo la Mnara Nchi Ya Ahadi. Picha hizi ni michoro ya usanifu, si picha za jengo lililokamilika.





Wasiliana nasi kujifunza zaidi kuhusu kanisa, ibada na huduma zetu.